Mwanzo 31:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Hakutufanya kama wageni, maana ametuuza, naye amekula fedha zetu kabisa? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Aidha yeye anatuona sisi kama wageni, kwa maana ametuuza; na mali ileile tuliyonunuliwa nayo ndiyo anayotumia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Aidha yeye anatuona sisi kama wageni, kwa maana ametuuza; na mali ileile tuliyonunuliwa nayo ndiyo anayotumia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Aidha yeye anatuona sisi kama wageni, kwa maana ametuuza; na mali ileile tuliyonunuliwa nayo ndiyo anayotumia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Je, yeye hatuhesabu sisi kama wageni? Sio kwamba ametuuza tu, bali ametumia hata mali tuliyolipiwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Je, yeye hatuhesabu sisi kama wageni? Sio kwamba ametuuza tu, bali ametumia hata na vile vilivyolipwa kwa ajili yetu. Tazama sura |