Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 31:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 Raheli na Lea wakajibu, wakamwambia, Je, Imebakia sehemu au urithi kwa ajili yetu katika nyumba ya baba yetu?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Raheli na Lea wakamjibu Yakobo, “Sisi hatuna tena sehemu au urithi wowote katika nyumba ya baba yetu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Raheli na Lea wakamjibu Yakobo, “Sisi hatuna tena sehemu au urithi wowote katika nyumba ya baba yetu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Raheli na Lea wakamjibu Yakobo, “Sisi hatuna tena sehemu au urithi wowote katika nyumba ya baba yetu!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Ndipo Raheli na Lea wakajibu, “Je bado tunalo fungu lolote katika urithi wa nyumba ya baba yetu?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Ndipo Raheli na Lea wakajibu, “Je bado tu tunalo fungu lolote katika urithi wa nyumba ya baba yetu?

Tazama sura Nakili




Mwanzo 31:14
6 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.


Labani akampa Lea mjakazi wake Zilpa, awe mjakazi wake.


Labani akampa binti yake Raheli mjakazi wake Bilha, awe mjakazi wake.


Mimi ni Mungu wa Betheli, huko ulikotia mafuta nguzo, na kuniwekea nadhiri. Sasa ondoka, toka katika nchi hii, urudi mpaka nchi ile uliyozaliwa.


Hakutufanya kama wageni, maana ametuuza, naye amekula fedha zetu kabisa?


Na watu wote waliokuwapo langoni, na wale wazee, wakasema, Naam, sisi ni mashahidi. BWANA na amfanye mwanamke huyu aingiaye nyumbani mwako kuwa kama Raheli na kama Lea, wale wawili walioijenga nyumba ya Israeli. Nawe ufanikiwe katika Efrata, na kuwa mashuhuri katika Bethlehemu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo