Mwanzo 30:39 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC39 Wanyama wakapata mimba mbele ya hizo fito, wakazaa wanyama walio na milia, na madoadoa, na marakaraka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema39 wakapata mimba mbele ya hizo fito; wakazaa wanyama wenye milia, mabakamabaka na madoadoa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND39 wakapata mimba mbele ya hizo fito; wakazaa wanyama wenye milia, mabakamabaka na madoadoa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza39 wakapata mimba mbele ya hizo fito; wakazaa wanyama wenye milia, mabakamabaka na madoadoa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu39 wakapandwa hizo fito zikiwa mbele yao. Wanyama waliopata mimba mbele ya hizo fito walizaa wanyama wenye mistari, madoadoa na mabaka mabaka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu39 wakapandwa hizo fito zikiwa mbele yao. Wanyama waliopata mimba mbele ya hizo fito walizaa wanyama wenye mistari, madoadoa na mabakabaka. Tazama sura |