Mwanzo 30:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Akajitenga na Yakobo mwendo wa siku tatu; naye Yakobo akachunga wanyama wa Labani waliosalia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Labani akajitenga na Yakobo umbali wa mwendo wa siku tatu; naye Yakobo akabaki akichunga wanyama wa Labani waliosalia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Labani akajitenga na Yakobo umbali wa mwendo wa siku tatu; naye Yakobo akabaki akichunga wanyama wa Labani waliosalia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Labani akajitenga na Yakobo umbali wa mwendo wa siku tatu; naye Yakobo akabaki akichunga wanyama wa Labani waliosalia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Kisha Labani akamwacha Yakobo kwa mwendo wa safari ya siku tatu, naye Yakobo akaendelea kuchunga lile kundi la Labani lililobaki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Kisha Labani akamwacha Yakobo kwa mwendo wa safari ya siku tatu kati yake na Yakobo, wakati Yakobo akiendelea kuchunga lile kundi la Labani lililobaki. Tazama sura |