Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 30:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

26 Nipe wake zangu na watoto wangu, niliokutumikia, niende zangu, maana umejua utumishi wangu niliokutumikia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Nipe wake zangu na watoto wangu ambao nimejipatia kutokana na utumishi wangu kwako, niondoke nao. Unajua kwamba nimekutumikia vema.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Nipe wake zangu na watoto wangu ambao nimejipatia kutokana na utumishi wangu kwako, niondoke nao. Unajua kwamba nimekutumikia vema.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Nipe wake zangu na watoto wangu ambao nimejipatia kutokana na utumishi wangu kwako, niondoke nao. Unajua kwamba nimekutumikia vema.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Nipe wake zangu na watoto, ambao nimetumika kuwapata, nami niende zangu. Unajua kazi niliyokufanyia.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Nipe wake zangu na watoto, ambao nimetumika kuwapata, nami niende zangu. Unajua ni kazi kiasi gani ambayo nimekufanyia.”

Tazama sura Nakili




Mwanzo 30:26
9 Marejeleo ya Msalaba  

Yakobo akampenda Raheli akasema, Nitakutumikia miaka saba kwa kumpata Raheli, binti yako mdogo.


Ndipo Yakobo akaingia kwa Raheli, akampenda Raheli kuliko Lea, akatumika kwa ajili yake miaka saba mingine.


Labani akamwambia Yakobo, Umefanya nini? Umenihadaa, ukawachukua binti zangu kama mateka waliotwaliwa kwa upanga.


Yakobo akajibu, akamwambia Labani, Kwa sababu niliogopa, nikasema, Usije ukaninyang'anya binti zako kwa nguvu.


Nanyi mmejua ya kwamba kwa nguvu zangu zote nimemtumikia baba yenu.


Na Yakobo alikimbia mpaka Padan-Aramu, Na Israeli alitumika apate mke; Ili apate mke alichunga kondoo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo