Mwanzo 30:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Mungu akamkumbuka Raheli; Mungu akamsikia, akamfungua tumbo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Kisha Mungu akamkumbuka Raheli, akalikubali ombi lake na kumjalia kupata watoto. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Kisha Mungu akamkumbuka Raheli, akalikubali ombi lake na kumjalia kupata watoto. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Kisha Mungu akamkumbuka Raheli, akalikubali ombi lake na kumjalia kupata watoto. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Ndipo Mungu akamkumbuka Raheli, akasikia maombi yake na akafungua tumbo lake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Ndipo Mungu akamkumbuka Raheli, akasikia maombi yake na akafungua tumbo lake. Tazama sura |