Mwanzo 3:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema, Msiyale wala msiyaguse, msije mkafa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 lakini Mungu alisema, ‘Msile matunda ya mti ulio katikati ya bustani, wala msiuguse, msije mkafa.’” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 lakini Mungu alisema, ‘Msile matunda ya mti ulio katikati ya bustani, wala msiuguse, msije mkafa.’” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 lakini Mungu alisema, ‘Msile matunda ya mti ulio katikati ya bustani, wala msiuguse, msije mkafa.’” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 lakini Mungu alisema, ‘Kamwe msile tunda la mti ulio katikati ya bustani, wala kuugusa, la sivyo mtakufa.’ ” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 lakini Mungu alisema, ‘Kamwe msile tunda la mti ulio katikati ya bustani, wala kuugusa, la sivyo mtakufa.’ ” Tazama sura |