Mwanzo 3:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 kwa hiyo BWANA Mungu akamtoa katika bustani ya Edeni, ailime ardhi ambayo katika hiyo alitwaliwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Basi, Mwenyezi-Mungu akamfukuza Adamu nje ya bustani ya Edeni, ili akailime ardhi ambamo alitwaliwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Basi, Mwenyezi-Mungu akamfukuza Adamu nje ya bustani ya Edeni, ili akailime ardhi ambamo alitwaliwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Basi, Mwenyezi-Mungu akamfukuza Adamu nje ya bustani ya Edeni, ili akailime ardhi ambamo alitwaliwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Hivyo Bwana Mwenyezi Mungu akamfukuzia mbali kutoka Bustani ya Edeni, akalime ardhi ambamo alitolewa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Hivyo bwana Mwenyezi Mungu akamfukuzia mbali kutoka Bustani ya Edeni, akalime ardhi ambamo alitolewa. Tazama sura |