Mwanzo 29:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Akawauliza, Je! Mnamjua Labani, mwana wa Nahori? Wakasema, Tunamjua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Naye akawauliza, “Je, mnamfahamu Labani mwana wa Nahori?” Wakamjibu, “Tunamfahamu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Naye akawauliza, “Je, mnamfahamu Labani mwana wa Nahori?” Wakamjibu, “Tunamfahamu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Naye akawauliza, “Je, mnamfahamu Labani mwana wa Nahori?” Wakamjibu, “Tunamfahamu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Akawauliza, “Je, mnamfahamu Labani, mjukuu wa Nahori?” Wakamjibu, “Ndiyo, tunamfahamu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Aliwaambia, “Je, mnamjua Labani, mjukuu wa Nahori?” Wakamjibu, “Ndiyo, tunamfahamu.” Tazama sura |