Mwanzo 29:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 Akapata mimba tena, akazaa mwana. Akasema, Mara hii nitamsifu BWANA; kwa hiyo akamwita jina lake Yuda; akaacha kuzaa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Lea akapata mimba tena, akajifungua mtoto wa kiume, akamwita Yuda, akisema, “Safari hii nitamsifu Mwenyezi-Mungu.” Kisha Lea akaacha kuzaa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Lea akapata mimba tena, akajifungua mtoto wa kiume, akamwita Yuda, akisema, “Safari hii nitamsifu Mwenyezi-Mungu.” Kisha Lea akaacha kuzaa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Lea akapata mimba tena, akajifungua mtoto wa kiume, akamwita Yuda, akisema, “Safari hii nitamsifu Mwenyezi-Mungu.” Kisha Lea akaacha kuzaa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Akapata tena mimba, naye alipozaa mwana akasema, “Wakati huu nitamsifu Mwenyezi Mungu.” Kwa hiyo akamwita jina Yuda. Kisha akaacha kuzaa watoto. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Akapata tena mimba, naye alipozaa mwana, akasema, “Wakati huu nitamsifu bwana.” Kwa hiyo akamwita Yuda. Kisha akaacha kuzaa watoto. Tazama sura |