Mwanzo 29:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Sikukutumikia kwa Raheli? Mbona umenidanganya? Labani akasema, Havitendeki hivi kwetu, kumtoa mdogo kabla ya mkubwa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Labani akamjibu, “Nchini mwetu hatufanyi hivyo; si desturi yetu kumwoza binti mdogo kabla ya mkubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Labani akamjibu, “Nchini mwetu hatufanyi hivyo; si desturi yetu kumwoza binti mdogo kabla ya mkubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Labani akamjibu, “Nchini mwetu hatufanyi hivyo; si desturi yetu kumwoza binti mdogo kabla ya mkubwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Labani akajibu, “Si desturi yetu kumwoza binti mdogo kabla ya kumwoza binti mkubwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Labani akajibu, “Si desturi yetu kumwoza binti mdogo kabla ya kumwoza binti mkubwa. Tazama sura |