Mwanzo 29:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Labani akampa Lea mjakazi wake Zilpa, awe mjakazi wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 (Labani akamtoa Zilpa, mjakazi wake, awe mtumishi wa Lea.) Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 (Labani akamtoa Zilpa, mjakazi wake, awe mtumishi wa Lea.) Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 (Labani akamtoa Zilpa, mjakazi wake, awe mtumishi wa Lea.) Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Naye Labani akamtoa Zilpa mjakazi wake kuwa mtumishi wa Lea, binti yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Naye Labani akamtoa Zilpa, mtumishi wake wa kike, kuwa mtumishi wa Lea, binti yake. Tazama sura |