Mwanzo 28:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Yakobo akaamka katika usingizi wake, akasema, Kweli BWANA yupo mahali hapa, ijapokuwa mimi sikujua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Ndipo Yakobo akaamka usingizini, akasema, “Hakika, Mwenyezi-Mungu yupo mahali hapa, nami sikujua!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Ndipo Yakobo akaamka usingizini, akasema, “Hakika, Mwenyezi-Mungu yupo mahali hapa, nami sikujua!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Ndipo Yakobo akaamka usingizini, akasema, “Hakika, Mwenyezi-Mungu yupo mahali hapa, nami sikujua!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Yakobo alipoamka kutoka usingizi, akawaza, “Hakika Mwenyezi Mungu yuko mahali hapa, wala mimi sikujua.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Yakobo alipoamka kutoka usingizini, akawaza, “Hakika bwana yuko mahali hapa, wala mimi sikujua.” Tazama sura |