Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 27:45 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

45 hadi ikuondokee ghadhabu ya ndugu yako, akasahau uliyomtenda. Ndipo nitakapotuma watu kukuchukua kutoka huko. Kwa nini nifiwe nanyi nyote wawili siku moja?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

45 Ghadhabu yake itakapopoa, naye atakapokuwa amesahau uliyomtendea, nitatuma mtu akurudishe. Kwa nini nifiwe na nyinyi wote wawili siku moja?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

45 Ghadhabu yake itakapopoa, naye atakapokuwa amesahau uliyomtendea, nitatuma mtu akurudishe. Kwa nini nifiwe na nyinyi wote wawili siku moja?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

45 Ghadhabu yake itakapopoa, naye atakapokuwa amesahau uliyomtendea, nitatuma mtu akurudishe. Kwa nini nifiwe na nyinyi wote wawili siku moja?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

45 Ndugu yako atakapokuwa hana hasira nawe tena na amesahau uliyomtendea, nitakupelekea ujumbe urudi. Kwa nini niwapoteze nyote wawili siku moja?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

45 Wakati ndugu yako atakapokuwa hana hasira nawe tena na amesahau uliyomtendea, nitakupelekea ujumbe urudi. Kwa nini niwapoteze wote wawili kwa siku moja?”

Tazama sura Nakili




Mwanzo 27:45
10 Marejeleo ya Msalaba  

Labda baba yangu atanipapasa, nami nitakuwa machoni pake kama mdanganyifu; nami nitaleta juu yangu laana wala si baraka.


Yakobo akamwambia babaye, Mimi ni Esau, mzaliwa wako wa kwanza, nimefanya kama ulivyoniambia. Inuka, tafadhali, ukae kitako, ule mawindo yangu, ili roho yako inibariki.


Akasema, Nduguyo amekuja kwa hila, akaichukua baraka yako.


Mna hila nyingi moyoni mwa mtu; Lakini shauri la BWANA ndilo litakalosimama.


Ni nani asemaye neno nalo likafanyika, Ikiwa Bwana hakuliagiza?


Wenyeji walipomwona yule nyoka akilewalewa mkononi, wakaambiana, Hakosi mtu huyu ni mwuaji; ambaye ijapokuwa ameokoka katika bahari haki haimwachi kuishi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo