Mwanzo 27:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC40 Kwa upanga wako wewe utaishi, nawe utamtumikia nduguyo; Na itakuwa utakapoponyoka, Utalivunja kongwa lake katika shingo yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Utaishi kwa upanga wako, na utamtumikia ndugu yako; lakini utakapoasi utaivunja kongwa yake shingoni mwako.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Utaishi kwa upanga wako, na utamtumikia ndugu yako; lakini utakapoasi utaivunja kongwa yake shingoni mwako.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Utaishi kwa upanga wako, na utamtumikia ndugu yako; lakini utakapoasi utaivunja kongwa yake shingoni mwako.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Utaishi kwa upanga, nawe utamtumikia ndugu yako. Lakini utakapokuwa umejikomboa, utatupa nira yake kutoka shingoni mwako.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Utaishi kwa upanga, nawe utamtumikia ndugu yako, lakini wakati utakapokuwa umejikomboa, utatupa nira yake kutoka shingoni mwako.” Tazama sura |