Mwanzo 27:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 Akasema, Nduguyo amekuja kwa hila, akaichukua baraka yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Lakini Isaka akasema, “Ndugu yako alikuja kwa hila, naye amechukua baraka yako.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Lakini Isaka akasema, “Ndugu yako alikuja kwa hila, naye amechukua baraka yako.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Lakini Isaka akasema, “Ndugu yako alikuja kwa hila, naye amechukua baraka yako.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Lakini akamjibu, “Ndugu yako amekuja kwa udanganyifu, akachukua baraka yako.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Lakini akasema, “Ndugu yako amekuja kwa udanganyifu na akachukua baraka yako.” Tazama sura |