Mwanzo 27:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Basi, nakuomba, chukua uta wako, podo lako na upinde wako, ukaende nyikani uniwindie mawindo; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Basi, chukua silaha zako, yaani podo na upinde wako, uende porini ukaniwindie mnyama. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Basi, chukua silaha zako, yaani podo na upinde wako, uende porini ukaniwindie mnyama. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Basi, chukua silaha zako, yaani podo na upinde wako, uende porini ukaniwindie mnyama. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Sasa basi chukua silaha zako, podo na upinde, uende nyikani, ukaniwindie mawindo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Sasa basi, chukua silaha zako, podo na upinde, uende nyikani, ukawinde nyama pori kwa ajili yangu. Tazama sura |