Mwanzo 27:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Mungu na akupe ya umande wa mbingu, Na manono ya nchi, Na wingi wa nafaka na mvinyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Mungu akumiminie umande wa mbinguni; akupe ardhi yenye rutuba, nafaka na divai kwa wingi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Mungu akumiminie umande wa mbinguni; akupe ardhi yenye rutuba, nafaka na divai kwa wingi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Mungu akumiminie umande wa mbinguni; akupe ardhi yenye rutuba, nafaka na divai kwa wingi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Mungu na akupe umande wa mbinguni na utajiri wa duniani: wingi wa nafaka na divai mpya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Mungu na akupe umande kutoka mbinguni na utajiri wa duniani: wingi wa nafaka na divai mpya. Tazama sura |
Kwa kuwa wana wa Israeli walitembea muda wa miaka arubaini barani, hadi hilo taifa zima, yaani, watu wanaume wapiganaji vita, waliotoka Misri, walipokuwa wameangamia; kwa sababu hawakuisikiza sauti ya BWANA; nao ndio BWANA aliowaapia ya kwamba hatawaacha waione hiyo nchi, ambayo BWANA aliwaapia baba zao kwamba atatupa sisi; nchi itiririkayo maziwa na asali.