Mwanzo 27:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Isaka, baba yake, akamwambia, Njoo karibu sasa, ukanibusu, mwanangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Ndipo baba yake Isaka, akamwambia, “Sogea karibu, mwanangu, unibusu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Ndipo baba yake Isaka, akamwambia, “Sogea karibu, mwanangu, unibusu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Ndipo baba yake Isaka, akamwambia, “Sogea karibu, mwanangu, unibusu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Ndipo Isaka baba yake akamwambia, “Njoo hapa, mwanangu, unibusu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Kisha Isaka baba yake akamwambia, “Njoo hapa, mwanangu, unibusu.” Tazama sura |