Mwanzo 27:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Isaka akamwuliza mwanawe, Imekuwaje umepata upesi namna hii, mwanangu? Akasema, Kwa sababu BWANA, Mungu wako, amenifanikisha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Lakini Isaka akamwuliza, “Imekuwaje umepata mawindo upesi hivyo, mwanangu?” Yakobo akamjibu, “Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, amenifanikisha.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Lakini Isaka akamwuliza, “Imekuwaje umepata mawindo upesi hivyo, mwanangu?” Yakobo akamjibu, “Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, amenifanikisha.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Lakini Isaka akamwuliza, “Imekuwaje umepata mawindo upesi hivyo, mwanangu?” Yakobo akamjibu, “Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, amenifanikisha.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Isaka akamuuliza mwanawe, “Umepataje mawindo haraka hivi, mwanangu?” Akajibu, “Mwenyezi Mungu, Mungu wako, amenifanikisha.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Isaka akamuuliza mwanawe. “Umepataje haraka namna hii, mwanangu?” Akajibu, “bwana Mwenyezi Mungu wako amenifanikisha.” Tazama sura |