Mwanzo 26:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 Roho zao Isaka na Rebeka zikajaa uchungu kwa ajili yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Wanawake hao waliyafanya maisha ya Isaka na Rebeka kuwa machungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Wanawake hao waliyafanya maisha ya Isaka na Rebeka kuwa machungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Wanawake hao waliyafanya maisha ya Isaka na Rebeka kuwa machungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Hawa walikuwa chanzo cha huzuni kwa Isaka na Rebeka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Hawa walikuwa chanzo cha huzuni ya Isaka na Rebeka. Tazama sura |