Mwanzo 26:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Isaka akawauliza, Mbona mwanijia, nanyi mmenichukia, mkanifukuza kwenu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Isaka akawauliza, “Kwa nini mmekuja kwangu hali mnanichukia na mlinifukuza kwenu?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Isaka akawauliza, “Kwa nini mmekuja kwangu hali mnanichukia na mlinifukuza kwenu?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Isaka akawauliza, “Kwa nini mmekuja kwangu hali mnanichukia na mlinifukuza kwenu?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Isaka akawauliza, “Mbona mmekuja kwangu, na ninyi mlinichukia na kunifukuza?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Isaka akawauliza, “Mbona mmekuja kwangu na ninyi mlinichukia na kunifukuza?” Tazama sura |