Mwanzo 26:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Na mtu huyu akawa mkuu, akazidi kusitawi, hata akawa mkuu sana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 naye akatajirika. Alizidi kupata mali hadi akawa tajiri sana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 naye akatajirika. Alizidi kupata mali hadi akawa tajiri sana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 naye akatajirika. Alizidi kupata mali hadi akawa tajiri sana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Isaka akawa tajiri, nayo mali yake ikaendelea kuongezeka hata akawa tajiri sana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Isaka akawa tajiri, mali zake zikaendelea kuongezeka mpaka akawa tajiri sana. Tazama sura |