Mwanzo 25:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Abrahamu akafariki, naye akafa katika uzee mwema, mzee sana, ameshiba siku, akakusanyika kwa watu wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Alifariki baada ya kuishi maisha marefu na ya fanaka, akajiunga na wazee wake waliomtangulia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Alifariki baada ya kuishi maisha marefu na ya fanaka, akajiunga na wazee wake waliomtangulia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Alifariki baada ya kuishi maisha marefu na ya fanaka, akajiunga na wazee wake waliomtangulia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Ndipo Ibrahimu akapumua pumzi ya mwisho na akafa akiwa mwenye umri mzuri, mzee aliyeshiba siku; naye akakusanywa pamoja na watu wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Ndipo Ibrahimu akapumua pumzi ya mwisho na akafa akiwa mwenye umri mzuri, mzee aliyeshiba siku, naye akakusanywa pamoja na watu wake. Tazama sura |