Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 25:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

7 Abrahamu aliishi miaka mia moja na sabini na mitano.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Abrahamu aliishi miaka 175.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Abrahamu aliishi miaka 175.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Abrahamu aliishi miaka 175.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Kwa jumla, Ibrahimu aliishi miaka mia moja na sabini na tano (175).

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Kwa jumla, Ibrahimu aliishi miaka 175.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 25:7
6 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Abramu akaenda, kama BWANA alivyomwamuru; Lutu akaenda pamoja naye. Naye Abramu alikuwa mtu wa miaka sabini na mitano alipotoka Harani.


Siku za Isaka zilikuwa miaka mia moja na themanini.


Naye Isaka akakata roho, akafa, akakusanyika kwa watu wake, ni mzee, ameshiba siku. Esau na Yakobo, wanawe, wakamzika.


Yakobo akaishi katika nchi ya Misri miaka kumi na saba, basi umri wake Yakobo ulikuwa miaka mia moja na arubaini na saba.


Yakobo akamjibu Farao, Siku za kuishi kwangu ni miaka mia moja na thelathini; siku za maisha yangu zimekuwa chache, tena za taabu, wala hazikufikia siku za maisha ya baba zangu katika siku za kuishi kwao.


Basi Yusufu akafa, mwenye miaka mia moja na kumi; wakampaka dawa, wakamtia katika sanduku, huko Misri.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo