Mwanzo 25:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Basi Isaka akampenda Esau, kwa sababu alikula mawindo yake, na Rebeka akampenda Yakobo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Basi, Isaka akampenda Esau kwa sababu alipenda kula mawindo yake, lakini Rebeka akampenda Yakobo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Basi, Isaka akampenda Esau kwa sababu alipenda kula mawindo yake, lakini Rebeka akampenda Yakobo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Basi, Isaka akampenda Esau kwa sababu alipenda kula mawindo yake, lakini Rebeka akampenda Yakobo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Isaka, aliyekuwa anapendelea zaidi nyama za porini, alimpenda Esau, bali Rebeka alimpenda Yakobo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Isaka, ambaye alikuwa anapendelea zaidi nyama za porini, alimpenda Esau, bali Rebeka alimpenda Yakobo. Tazama sura |