Mwanzo 25:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Na hivi ndivyo vizazi vya Isaka, mwana wa Abrahamu. Abrahamu alimzaa Isaka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Hawa ndio wazawa wa Isaka mwana wa Abrahamu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Hawa ndio wazawa wa Isaka mwana wa Abrahamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Hawa ndio wazawa wa Isaka mwana wa Abrahamu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Hivi ndivyo vizazi vya Isaka mwana wa Ibrahimu. Ibrahimu akamzaa Isaka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Hivi ndivyo vizazi vya Isaka mwana wa Ibrahimu. Ibrahimu akamzaa Isaka, Tazama sura |