Mwanzo 25:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Ishmaeli aliishi miaka mia moja na thelathini na saba. Akakata roho, akafa, akakusanyika kwa watu wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Ishmaeli alikuwa na umri wa miaka 137 alipofariki, akajiunga na wazee wake waliotangulia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Ishmaeli alikuwa na umri wa miaka 137 alipofariki, akajiunga na wazee wake waliotangulia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Ishmaeli alikuwa na umri wa miaka 137 alipofariki, akajiunga na wazee wake waliotangulia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Kwa jumla Ishmaeli aliishi miaka mia moja na thelathini na saba (137). Akapumua pumzi ya mwisho, akafa, naye akakusanywa pamoja na watu wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Kwa jumla Ishmaeli aliishi miaka 137. Akapumua pumzi ya mwisho, akafa, naye akakusanywa pamoja na watu wake. Tazama sura |