Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 25:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

12 Hivi ndivyo vizazi vya Ishmaeli, mwana wa Abrahamu, ambaye Hajiri, Mmisri, mjakazi wa Sara, alimzalia Abrahamu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Hawa ndio wazawa wa Ishmaeli mwanawe Abrahamu ambaye Hagari Mmisri, aliyekuwa mjakazi wa Sara, alimzalia Abrahamu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Hawa ndio wazawa wa Ishmaeli mwanawe Abrahamu ambaye Hagari Mmisri, aliyekuwa mjakazi wa Sara, alimzalia Abrahamu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Hawa ndio wazawa wa Ishmaeli mwanawe Abrahamu ambaye Hagari Mmisri, aliyekuwa mjakazi wa Sara, alimzalia Abrahamu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Hivi ndivyo vizazi vya Ishmaeli mwana wa Ibrahimu, ambaye Hajiri Mmisri, mjakazi wa Sara, alimzalia Ibrahimu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Hivi ndivyo vizazi vya Ishmaeli mtoto wa Ibrahimu, ambaye mjakazi wake Sara, Hagari Mmisri, alimzalia Ibrahimu.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 25:12
8 Marejeleo ya Msalaba  

Kuhusu Ishmaeli nimekusikia, nimembariki na nitamzidisha na kumwongeza sana. Atakuwa baba wa watawala kumi na wawili, na atakuwa na taifa kuu.


Naye mwana wa mjakazi nitamfanya kuwa taifa, maana huyu naye ni uzao wako.


Ondoka, ukamwinue kijana, ukamshike mkononi mwako, kwa kuwa nitamfanya kuwa taifa kubwa.


Wana wa Abrahamu; Isaka, na Ishmaeli.


Hivi ndivyo vizazi vyao; mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Nebayothi; kisha Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu;


Hema za Edomu, na Waishmaeli, Na Moabu, na Wahagari,


Kisha Gideoni akawaambia, Mimi nina haja yangu niitakayo kwenu, ni ya kila mtu kunipa hizo herini za mateka wake. (Kwa maana walikuwa na herini za dhahabu, kwa sababu walikuwa ni Waishmaeli.)


Tufuate:

Matangazo


Matangazo