Mwanzo 24:64 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC64 Rebeka akainua macho, naye alipomwona Isaka, alishuka juu ya ngamia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema64 Naye Rebeka alipotazama na kumwona Isaka, alishuka chini Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND64 Naye Rebeka alipotazama na kumwona Isaka, alishuka chini Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza64 Naye Rebeka alipotazama na kumwona Isaka, alishuka chini Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu64 Rebeka pia akainua macho, akamwona Isaka. Akashuka kutoka ngamia wake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu64 Rebeka pia akainua macho akamwona Isaka. Akashuka kutoka kwenye ngamia wake Tazama sura |