Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 24:63 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

63 Isaka akatoka ili kutafakari shambani wakati wa jioni; akainua macho yake, akaona, kuna ngamia wanakuja.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

63 Siku moja jioni, Isaka alikwenda mashambani kutafakari. Basi, akatazama akaona ngamia wanakuja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

63 Siku moja jioni, Isaka alikwenda mashambani kutafakari. Basi, akatazama akaona ngamia wanakuja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

63 Siku moja jioni, Isaka alikwenda mashambani kutafakari. Basi, akatazama akaona ngamia wanakuja.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

63 Isaka akaenda shambani kutafakari wakati wa jioni; alipoinua macho yake, akaona ngamia wanakuja.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

63 Isaka akatoka kwenda shambani kutafakari wakati wa jioni, alipoinua macho yake, akaona ngamia wanakuja.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 24:63
12 Marejeleo ya Msalaba  

Akainua macho yake akaona, na tazama, watu watatu wamesimama mbele yake. Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema, akainama mpaka chini,


Rebeka akainua macho, naye alipomwona Isaka, alishuka juu ya ngamia.


Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.


Kutafakari kwangu na kuwe kutamu kwake; Maana furaha yangu hutoka kwa BWANA.


Nitayatafakari maagizo yako, Na kuziangalia njia zako.


Unifahamishe njia ya maagizo yako, Nami nitayatafakari maajabu yako.


Na mikono yangu nitayainulia maagizo yako niliyoyapenda, Nami nitazitafakari amri zako.


Nitaifikiri fahari ya utukufu wa adhama yako, Na matendo yako yote ya ajabu.


Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda kulingana na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo