Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 24:62 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

62 Basi Isaka alikuwa amekuja kwa njia ya Beer-lahai-roi, maana alikaa katika nchi ya kusini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

62 Wakati huo, Isaka alikuwa ameondoka Beer-lahai-roi, akawa anakaa huko pande za Negebu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

62 Wakati huo, Isaka alikuwa ameondoka Beer-lahai-roi, akawa anakaa huko pande za Negebu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

62 Wakati huo, Isaka alikuwa ameondoka Beer-lahai-roi, akawa anakaa huko pande za Negebu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

62 Basi Isaka alikuwa ametoka Beer-Lahai-Roi, kwa kuwa alikuwa akiishi nchi ya Negebu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

62 Basi Isaka alikuwa ametoka Beer-Lahai-Roi, kwa kuwa alikuwa anaishi nchi ya Negebu.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 24:62
5 Marejeleo ya Msalaba  

Naye Abramu akasafiri, akazidi kwenda pande za kusini.


Kwa hiyo kisima kile kiliitwa Beer-lahai-roi. Tazama, kiko kati ya Kadeshi na Beredi.


Abrahamu akaondoka huko kwenda nchi ya kusini, akakaa kati ya Kadeshi na Shuri, naye akatembea katika Gerari.


Rebeka akaondoka na vijakazi wake, nao wakapanda juu ya ngamia, wakamfuata yule mtu. Naye huyo mtumishi akamchukua Rebeka akaenda zake.


Ikawa, baada ya kufa kwake Abrahamu, Mungu akambariki Isaka mwanawe. Naye Isaka akakaa karibu ya Beer-lahai-roi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo