Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 24:58 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

58 Wakamwita Rebeka wakamwuliza, Je! Utakwenda na mtu huyu? Akasema, Nitakwenda.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

58 Wakamwita Rebeka na kumwuliza, “Je, utakwenda na mtu huyu?” Naye akajibu, “Nitakwenda.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

58 Wakamwita Rebeka na kumwuliza, “Je, utakwenda na mtu huyu?” Naye akajibu, “Nitakwenda.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

58 Wakamwita Rebeka na kumwuliza, “Je, utakwenda na mtu huyu?” Naye akajibu, “Nitakwenda.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

58 Kwa hiyo wakamwita Rebeka na kumuuliza, “Je, utaenda na mtu huyu?” Akasema, “Nitaenda.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

58 Kwa hiyo wakamwita Rebeka na kumuuliza, “Je, utakwenda na mtu huyu?” Akasema, “Nitakwenda.”

Tazama sura Nakili




Mwanzo 24:58
4 Marejeleo ya Msalaba  

Wakasema, Na tumwite huyo msichana, tumwulize mwenyewe.


Ndipo wakampeleka Rebeka dada yao, na yaya wake, na mtumishi wa Abrahamu, na watu wake.


Mariamu akasema, Tazama, mimi ni mjakazi wa Bwana; na iwe kwangu kama ulivyosema. Kisha malaika akaondoka akaenda zake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo