Mwanzo 24:52 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC52 Ikawa mtumishi wa Abrahamu aliposikia maneno yao, akainama hata nchi mbele za BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema52 Mtumishi wa Abrahamu aliposikia maneno hayo, alimsujudia Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND52 Mtumishi wa Abrahamu aliposikia maneno hayo, alimsujudia Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza52 Mtumishi wa Abrahamu aliposikia maneno hayo, alimsujudia Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu52 Ikawa huyo mtumishi wa Ibrahimu aliposikia waliyosema, alisujudu, uso wake ukagusa chini mbele za Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu52 Ikawa huyo mtumishi wa Ibrahimu aliposikia waliyosema, alisujudu mpaka nchi mbele za bwana. Tazama sura |