Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 24:51 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

51 Tazama, huyo Rebeka yuko mbele yako, umchukue, ukaende zako awe mke wa mwana wa bwana wako, kama alivyosema BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

51 Rebeka huyu hapa; mchukue uende. Na awe mke wa mwana wa bwana wako kama Mwenyezi-Mungu alivyosema.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

51 Rebeka huyu hapa; mchukue uende. Na awe mke wa mwana wa bwana wako kama Mwenyezi-Mungu alivyosema.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

51 Rebeka huyu hapa; mchukue uende. Na awe mke wa mwana wa bwana wako kama Mwenyezi-Mungu alivyosema.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

51 Rebeka yuko hapa, mchukue na uende, awe mke wa mwana wa bwana wako, sawasawa na Mwenyezi Mungu alivyoongoza.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

51 Rebeka yuko hapa, mchukue na uende, awe mke wa mwana wa bwana wako, sawasawa na bwana alivyoongoza.”

Tazama sura Nakili




Mwanzo 24:51
6 Marejeleo ya Msalaba  

Abimeleki akasema, Nchi yangu iko mbele yako, ishi upendapo.


Ikawa, kabla hajaisha kunena, tazama, Rebeka anatokea, binti wa Bethueli mwana wa Milka, mkewe Nahori, ndugu wa Abrahamu, naye ana mtungi begani pake.


Ndipo Labani na Bethueli wakajibu wakasema, Neno hili limetoka kwa BWANA, wala sisi hatuwezi kukuambia neno jema wala baya.


Ikawa mtumishi wa Abrahamu aliposikia maneno yao, akainama hata nchi mbele za BWANA.


Mfalme akasema, Nina nini na ninyi, enyi wana wa Seruya? Kwa sababu yeye analaani, na kwa sababu BWANA amemwambia, Mlaani Daudi, basi, ni nani atakayesema, Mbona umetenda haya?


oeni wake, mkazae wana na binti; kawaozeni wake wana wenu, mkawaoze waume binti zenu, wazae wana na binti; mkaongezeke huko wala msipungue.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo