Mwanzo 24:38 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC38 Ila uende mpaka nyumbani kwa babangu, na kwa jamaa zangu, ukamtwalie mwanangu mke. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema38 Bali utakwenda mpaka nchi yangu, kwa jamaa zangu, ili umtafutie mwanangu Isaka mke.’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 Bali utakwenda mpaka nchi yangu, kwa jamaa zangu, ili umtafutie mwanangu Isaka mke.’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 Bali utakwenda mpaka nchi yangu, kwa jamaa zangu, ili umtafutie mwanangu Isaka mke.’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu38 ila uende hadi kwa jamaa ya baba yangu na ukoo wangu mwenyewe, ukamtwalie mwanangu mke huko.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu38 ila uende mpaka kwa jamaa ya baba yangu na ukoo wangu mwenyewe, ukamtwalie mwanangu mke huko.’ Tazama sura |