Mwanzo 24:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Naye Sara, mkewe bwana wangu, akamzalia bwana wangu mwana wa kiume, katika uzee wake; naye amempa yote aliyo nayo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Sara, mke wa bwana wangu katika uzee wake, alimzalia bwana wangu mtoto; na bwana wangu amempa huyo mtoto mali yake yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Sara, mke wa bwana wangu katika uzee wake, alimzalia bwana wangu mtoto; na bwana wangu amempa huyo mtoto mali yake yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Sara, mke wa bwana wangu katika uzee wake, alimzalia bwana wangu mtoto; na bwana wangu amempa huyo mtoto mali yake yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Sara mkewe bwana wangu amemzalia mwana katika uzee wake, naye amempa kila kitu alichokuwa nacho. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Sara mkewe bwana wangu amemzalia mwana katika uzee wake, naye amempa kila kitu alichokuwa nacho. Tazama sura |