Mwanzo 24:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC33 Akaandaliwa chakula, lakini akasema, Sili mpaka niseme kwanza maneno yangu. Akamwambia, Haya, sema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Basi, wakamwandalia chakula, lakini yeye akasema, “Sitakula mpaka nimesema ninachotaka kusema.” Labani akamwambia, “Haya, tuambie.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Basi, wakamwandalia chakula, lakini yeye akasema, “Sitakula mpaka nimesema ninachotaka kusema.” Labani akamwambia, “Haya, tuambie.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Basi, wakamwandalia chakula, lakini yeye akasema, “Sitakula mpaka nimesema ninachotaka kusema.” Labani akamwambia, “Haya, tuambie.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Ndipo chakula kikaandaliwa kwa ajili yake, lakini akasema, “Sitakula hadi niwe nimewaambia yale niliyo nayo ya kusema.” Labani akasema, “Basi tuambie.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Ndipo chakula kikaandaliwa kwa ajili yake, lakini akasema, “Sitakula mpaka niwe nimewaambia yale niliyo nayo ya kusema.” Labani akasema, “Basi tuambie.” Tazama sura |