Mwanzo 24:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Naye akasema, Ee BWANA, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, nakuomba mambo yangu uyajalie yawe heri leo, ukamfadhili bwana wangu Abrahamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Naye akaomba, “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, nakuomba unijalie nifaulu leo na umfadhili Abrahamu bwana wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Naye akaomba, “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, nakuomba unijalie nifaulu leo na umfadhili Abrahamu bwana wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Naye akaomba, “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, nakuomba unijalie nifaulu leo na umfadhili Abrahamu bwana wangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Kisha akaomba, “Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wa bwana wangu Ibrahimu, nipatie ushindi leo, uoneshe ukarimu kwa bwana wangu Ibrahimu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Kisha akaomba, “Ee bwana, Mungu wa bwana wangu Ibrahimu, nipatie ushindi leo, uonyeshe huruma kwa bwana wangu Ibrahimu. Tazama sura |