Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 23:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

18 kuwa mali yake Abrahamu, mbele ya wazawa wa Hethi, mbele ya watu wote waingiao katika mlango wa mji wake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Abrahamu mbele ya Wahiti wote waliokutanika penye lango la mji.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Abrahamu mbele ya Wahiti wote waliokutanika penye lango la mji.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Abrahamu mbele ya Wahiti wote waliokutanika penye lango la mji.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 kwa Ibrahimu kuwa mali yake mbele ya Wahiti wote waliokuwa wamekuja kwenye lango la mji.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 kwa Ibrahimu kuwa mali yake mbele ya Wahiti wote waliokuwa wamekuja kwenye lango la mji.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 23:18
8 Marejeleo ya Msalaba  

Kanaani akamzaa Sidoni, mwanawe wa kwanza, na Hethi,


Basi Efroni alikuwa akiketi kati ya wazawa wa Hethi. Efroni Mhiti akamjibu Abrahamu, na wazawa wa Hethi wanasikiliza, hata watu wote waingiao mlango wa mji wake, akisema,


Basi baada ya hayo Abrahamu akamzika Sara mkewe katika pango la shamba la Makpela kuelekea Mamre, ndiyo Hebroni, katika nchi ya Kanaani.


Isaka na Ishmaeli wanawe wakamzika katika pango ya Makpela, katika shamba la Efroni mwana wa Sohari Mhiti, lielekealo Mamre.


Hamori, na Shekemu mwanawe, wakaja langoni pa mji wao, wakasema na watu wa mji wao, wakinena,


Wakawasikia Hamori na Shekemu mwanawe, wote watokeao katika lango la mji wake. Wakatahiriwa kila mwanamume, wote watokao katika lango la mji wake.


na ile hati ya kununua nikampa Baruku, mwana wa Neria, mwana wa Maaseya, mbele ya uso wa Hanameli, mwana wa mjomba wangu, na mbele ya mashahidi wale walioitia sahihi hati ya kununua, mbele ya Wayahudi wote walioketi katika ukumbi wa walinzi.


Basi Boazi akakwea kwenda mpaka langoni, akaketi pale; na tazama, yule mtu wa jamaa aliyekuwa karibu, ambaye Boazi amemnena, akapita. Naye akamwita, Haya! Wewe, karibu, uketi hapa. Naye akaja akaketi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo