Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 22:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

24 Na suria wake Reuma naye alizaa Teba na Gahamu na Tahashi na Maaka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Zaidi ya hayo, Reuma, suria wa Nahori, pia alimzalia watoto: Teba, Gahamu, Tahashi na Maaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Zaidi ya hayo, Reuma, suria wa Nahori, pia alimzalia watoto: Teba, Gahamu, Tahashi na Maaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Zaidi ya hayo, Reuma, suria wa Nahori, pia alimzalia watoto: Teba, Gahamu, Tahashi na Maaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Suria wake Nahori aliyeitwa Reuma pia alizaa wana: Teba, Gahamu, Tahashi na Maaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Suria wake Nahori aliyeitwa Reuma pia alikuwa na wana: Teba, Gahamu, Tahashi na Maaka.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 22:24
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa hiyo, baada ya Abramu kukaa miaka kumi katika nchi ya Kanaani, Sarai mkewe Abramu alimtwaa Hajiri Mmisri, mjakazi wake, akampa Abramu mumewe, kama mke.


Bethueli akamzaa Rebeka; hao wanane Milka alimzalia Nahori ndugu wa Abrahamu.


Basi umri wake Sara ulikuwa miaka mia moja na ishirini na saba, ndio umri wake Sara.


Lakini wana wa masuria aliokuwa nao Abrahamu, Abrahamu akawapa zawadi, naye akawaondoa katika mahali alipokaa Isaka mwanawe, wakati wa uhai wake, waende pande za mashariki, mpaka nchi ya Kedemu.


Naye Maaka, suria yake Kalebu, akamzalia Sheberi, na Tirhana.


Kisha baada yake akamwoa Maaka, binti Absalomu; na yeye akamzalia Abiya, na Atai, na Ziza, na Shelomithi.


BWANA ataing'oa nyumba ya mwenye kiburi; Bali atauthibitisha mpaka wa mjane.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo