Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 22:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Ikawa baada ya mambo hayo, Abrahamu akaambiwa ya kwamba, Tazama, Milka naye amemzalia Nahori ndugu yako wana;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Baada ya matukio hayo Abrahamu alipata habari kwamba Milka pia amemzalia Nahori, nduguye, watoto wa kiume:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Baada ya matukio hayo Abrahamu alipata habari kwamba Milka pia amemzalia Nahori, nduguye, watoto wa kiume:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Baada ya matukio hayo Abrahamu alipata habari kwamba Milka pia amemzalia Nahori, nduguye, watoto wa kiume:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Baada ya muda, Ibrahimu akaambiwa, “Milka pia amepata watoto; amemzalia ndugu yako Nahori wana:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Baada ya muda, Ibrahimu akaambiwa, “Milka pia amepata watoto, amemzalia ndugu yako Nahori wana:

Tazama sura Nakili




Mwanzo 22:20
10 Marejeleo ya Msalaba  

Tera akaishi miaka sabini, akamzaa Abramu, na Nahori, na Harani.


Na hivi ndivyo vizazi vya Tera. Tera akamzaa Abramu, na Nahori, na Harani. Harani akamzaa Lutu.


Abramu na Nahori wakajitwalia wake. Jina la mkewe Abramu aliitwa Sarai, na jina la mkewe Nahori aliitwa Milka, binti Harani, ambaye alikuwa baba wa Milka na wa Iska.


Baada ya mambo hayo neno la BWANA likamjia Abramu katika njozi, likinena, Usiogope, Abramu, Mimi ni ngao yako, na thawabu yako itakuwa kubwa sana.


Usi, mzaliwa wa kwanza wake, na Buzi nduguye, na Kemueli, baba wa Aramu;


Kisha huyo mtumishi akatwaa ngamia kumi katika ngamia za bwana wake akaenda zake, maana mali zote za bwana wake zilikuwa mkononi mwake, akaondoka, akaja mpaka Mesopotamia, mpaka mji wa Nahori.


Ikawa, kabla hajaisha kunena, tazama, Rebeka anatokea, binti wa Bethueli mwana wa Milka, mkewe Nahori, ndugu wa Abrahamu, naye ana mtungi begani pake.


Akasema, Mimi ni binti wa Bethueli mwana wa Milka, aliyemzalia Nahori.


Mungu wa Abrahamu, na Mungu wa Nahori, Mungu wa baba yao, ahukumu kati yetu. Yakobo akaapa kwa Hofu ya Isaka baba yake.


Kama vile maji ya baridi kwa mtu mwenye kiu, Ndivyo ilivyo habari njema itokayo katika nchi ya mbali.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo