Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 21:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

29 Abimeleki akamwuliza Abrahamu, Hawa wana-kondoo saba majike, uliowaweka, maana yake ni nini?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Abimeleki akamwuliza Abrahamu, “Kwa nini unawatenga hao wanakondoo wa kike saba?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Abimeleki akamwuliza Abrahamu, “Kwa nini unawatenga hao wanakondoo wa kike saba?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Abimeleki akamwuliza Abrahamu, “Kwa nini unawatenga hao wanakondoo wa kike saba?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Abimeleki akamuuliza Ibrahimu, “Ni nini maana ya hawa kondoo jike saba uliowatenga peke yao?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Abimeleki akamuuliza Ibrahimu, “Ni nini maana ya hawa kondoo wa kike saba uliowatenga peke yao?”

Tazama sura Nakili




Mwanzo 21:29
5 Marejeleo ya Msalaba  

Abrahamu akawaweka wana-kondoo saba wa kike peke yao.


Akasema, Hawa wana-kondoo saba majike utawapokea mkononi mwangu, wawe ushuhuda ya kuwa ni mimi niliyekichimba kisima hiki.


Akasema, Kundi hili lote nililokutana nalo, maana yake ni nini? Akasema, Ili kunipatia kibali machoni pa bwana wangu.


Kisha itakuwa, hapo watoto wenu watakapowauliza, Ni nini maana yake utumishi huu kwenu?


Samweli akasema, Maana yake nini basi, hiki kilio cha kondoo masikioni mwangu, na huu mlio wa ng'ombe ninaousikia?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo