Mwanzo 21:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 BWANA akamjia Sara kama alivyonena, na BWANA akamfanyia kama alivyosema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mwenyezi-Mungu alimkumbuka Sara, akamtendea kama alivyoahidi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mwenyezi-Mungu alimkumbuka Sara, akamtendea kama alivyoahidi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mwenyezi-Mungu alimkumbuka Sara, akamtendea kama alivyoahidi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Wakati huu Mwenyezi Mungu akamrehemu Sara kama alivyokuwa amesema, na Mwenyezi Mungu akamtendea Sara kama alivyoahidi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Wakati huu bwana akamrehemu Sara kama alivyokuwa amesema, naye bwana akamtendea Sara kile alichokuwa ameahidi. Tazama sura |