Mwanzo 2:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 maji yakapanda katika nchi, yakatia unyevu juu ya uso wote wa ardhi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Hata hivyo, maji yalitoka ardhini yakainywesha ardhi yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Hata hivyo, maji yalitoka ardhini yakainywesha ardhi yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Hata hivyo, maji yalitoka ardhini yakainywesha ardhi yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 lakini umande ulitokeza kutoka ardhini na kunyesha uso wote wa nchi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 lakini umande ulitokeza kutoka ardhini na kunyesha uso wote wa nchi: Tazama sura |