Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 2:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

22 na ule ubavu alioutwaa katika Adamu BWANA Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Na huo ubavu Mwenyezi-Mungu alioutoa kwa yule mwanamume akaufanya kuwa mwanamke, akamleta kwa huyo mwanamume.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Na huo ubavu Mwenyezi-Mungu alioutoa kwa yule mwanamume akaufanya kuwa mwanamke, akamleta kwa huyo mwanamume.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Na huo ubavu Mwenyezi-Mungu alioutoa kwa yule mwanamume akaufanya kuwa mwanamke, akamleta kwa huyo mwanamume.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Kisha Bwana Mwenyezi Mungu akamfanya mwanamke kutoka kwa ule ubavu alioutoa kwa mwanaume, akamleta huyo mwanamke kwa mwanaume.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Kisha bwana Mwenyezi Mungu akamfanya mwanamke kutoka kwenye ule ubavu aliouchukua kutoka kwa huyo mwanaume, akamleta huyo mwanamke kwa huyo mwanaume.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 2:22
7 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA Mungu akafanyiza kutoka katika ardhi kila mnyama wa msituni, na kila ndege wa angani, akamletea Adamu ili aone atawaitaje; kila kiumbe hai, jina alilokiita Adamu likawa ndilo jina lake.


BWANA asipoijenga nyumba Waijengao wanafanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye anakesha bure.


Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa BWANA.


Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na BWANA.


Kwa maana Adamu ndiye aliyeumbwa kwanza, na Hawa baadaye.


Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo