Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mwanzo 2:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

21 BWANA Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Basi, Mwenyezi-Mungu akamletea huyo mwanamume usingizi mzito, na alipokuwa usingizini, akatwaa ubavu wake mmoja na kupafunika mahali pale kwa nyama.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Basi, Mwenyezi-Mungu akamletea huyo mwanamume usingizi mzito, na alipokuwa usingizini, akatwaa ubavu wake mmoja na kupafunika mahali pale kwa nyama.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Basi, Mwenyezi-Mungu akamletea huyo mwanamume usingizi mzito, na alipokuwa usingizini, akatwaa ubavu wake mmoja na kupafunika mahali pale kwa nyama.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Hivyo Bwana Mwenyezi Mungu akamfanya Adamu kulala usingizi mzito, naye alipokuwa amelala akachukua moja ya mbavu zake, akapafunika mahali pale kwa nyama.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Hivyo bwana Mwenyezi Mungu akamfanya Adamu kulala usingizi mzito, naye alipokuwa amelala akachukua moja ya mbavu zake, akapafunika mahali pale kwa nyama.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 2:21
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na jua lilipokuwa likichwa usingizi mzito ulimshika Abramu, hofu ya giza kuu ikamwangukia.


Katika ndoto, katika maono ya usiku, Usingizi mzito uwajiapo watu, Katika usingizi kitandani;


Katika mawazo yaliyotoka katika maono ya usiku, Hapo usingizi mzito uwaangukiapo wanadamu.


Uvivu humtia mtu katika usingizi mzito; Na nafsi yake mvivu itaona njaa.


Basi alipokuwa akisema nami, nilishikwa na usingizi mzito na uso wangu uliielekea nchi; lakini alinigusa, akanisimamisha wima.


Maana mwanamume hakutoka katika mwanamke, bali mwanamke katika mwanamume.


Basi Daudi akalitwaa lile fumo, na lile gudulia la maji, kichwani pa Sauli; nao wakaenda zao, wala hapana mtu aliyeliona jambo hili wala kulijua, wala kuamka; maana wote walikuwa wamelala; kwa kuwa usingizi mzito kutoka kwa BWANA umewaangukia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo