Mwanzo 2:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 BWANA Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, “Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Mwenyezi-Mungu alimwamuru huyo mwanamume, “Waweza kula matunda ya mti wowote katika bustani; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Mwenyezi-Mungu alimwamuru huyo mwanamume, “Waweza kula matunda ya mti wowote katika bustani; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Mwenyezi-Mungu alimwamuru huyo mwanamume, “Waweza kula matunda ya mti wowote katika bustani; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Bwana Mwenyezi Mungu akamwagiza huyo mtu, akamwambia, “Uko huru kula matunda ya mti wowote katika bustani; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 bwana Mwenyezi Mungu akamwagiza huyo mtu, akamwambia, “Uko huru kula matunda ya mti wowote katika bustani, Tazama sura |