Mwanzo 19:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC33 Wakamnywesha baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka huyo mkubwa akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Usiku huo wakamlevya baba yao kwa divai, na yule binti wa kwanza akaenda akalala naye. Lakini baba yake hakujua wakati bintiye alipolala naye, wala alipoondoka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Usiku huo wakamlevya baba yao kwa divai, na yule binti wa kwanza akaenda akalala naye. Lakini baba yake hakujua wakati bintiye alipolala naye, wala alipoondoka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Usiku huo wakamlevya baba yao kwa divai, na yule binti wa kwanza akaenda akalala naye. Lakini baba yake hakujua wakati bintiye alipolala naye, wala alipoondoka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Usiku ule walimnywesha baba yao mvinyo; alipolewa, binti yake mkubwa akaingia na kukutana naye kimwili. Baba yao hakujua binti yake alipoingia kulala naye wala alipotoka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Usiku ule walimnywesha baba yao mvinyo, alipolewa binti yake mkubwa akaingia na kukutana naye kimwili. Baba yao hakujua wakati binti yake alipoingia kulala naye wala alipotoka. Tazama sura |