Mwanzo 19:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Ikawa Mungu alipoiharibu miji ya Bondeni, Mungu akamkumbuka Abrahamu, akamtoa Lutu katika maangamizi alipoiangamiza miji hiyo aliyokaa Lutu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Mungu alipoiangamiza miji ya bondeni alimokuwa anakaa Loti, alimkumbuka Abrahamu kwa kumtoa Loti katika miji hiyo, ili Loti asije akaangamia pamoja nayo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Mungu alipoiangamiza miji ya bondeni alimokuwa anakaa Loti, alimkumbuka Abrahamu kwa kumtoa Loti katika miji hiyo, ili Loti asije akaangamia pamoja nayo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Mungu alipoiangamiza miji ya bondeni alimokuwa anakaa Loti, alimkumbuka Abrahamu kwa kumtoa Loti katika miji hiyo, ili Loti asije akaangamia pamoja nayo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Kwa hiyo Mungu alipoiangamiza miji ya tambarare, alimkumbuka Ibrahimu, akamtoa Lutu kutoka lile janga lililoharibu miji ile ambamo Lutu alikuwa ameishi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Kwa hiyo Mungu alipoiangamiza miji ya tambarare alimkumbuka Ibrahimu, akamtoa Lutu kutoka kwenye lile janga lililoharibu miji ile ambamo Lutu alikuwa ameishi. Tazama sura |